Musiki kweli ni dawa yangu

Musiki kweli ni dawa yangu

 Yebo,  Ndiyo

ni kweli nimeshasikia

Muziki ni dawa inayo nguvu

kuliko nyingi, nyingi!

Nguvu ya muziki inazidi vitu vingi

siwezi kusahau lengo, lengo hivi hivi

Imeshatoboa bongo langu

kama kijiti ‘kali kupasua mshikaki kavu hivi

Muziki imenisaidia maisha yangu kweli, mara nyingi

Wakati nikipata shida kubwa

sauti headphones yangu inasaidia kuliko dawa baridi

 kutoka hospitalini

 au

 kutoka pharmacy mjini

Kama…

Kabla daktari wa meno aanze kuwasha drilli

Ninasema kwa sauti kubwa…

”Ngoja dakika moja tafadhali! Ngoja dakika mbili!

Bado sijachagua dawa yangu muziki kuzuwia paniki za mwili!!”

Ninasema

“Daktari wa meno

kabla ya kunipa sindano

 kabla kuanza muziki wa drilli

Lazima nipate nafasi ya kuchagua muziki moja au mbili!!

 Labda itakuwa jazzy

 Labda bongo flava au bluesy

 Labda zitakuwa rhymes kali za hip hop

 au ngoma mbali mbali asili

 Labda nitachagua sauti tamu

 inafanana sauti ya nyuki bizi

Sauti ya wazazi wangu zamani ndani ya obokano, kamba hizi

 Sauti zao wazazi wangu kila siku ninawasikiliza

 Naona napata nguvu kutosha

 waweke blanketi za sauti, upendo begani

  Naona sauti ya muziki wa wazazi unatosha kama dawa yangu kweli!

Music is truly my Medicine

Oh yes!  No doubt!

I’ve heard it said often and I know it is factually true

That Music is powerful

 a strong healing blow

that gives me more strength than most will ever know

Music has strength and more power to heal sick

that message pierces my brain

like skewered pieces of shish kabob meat

or dried fishes lined up on sharp edged sticks

Music has helped me in my life through huge troubles

so many, countless times before

The voices from my headphones help heal me

more than hospital or pharmacy medicine for sure

Like …

Before my dentist starts her work and turns on her electric drill

I shout out in the loudest of voices

 “Please wait Doctor! Wait a minute or two, I say!

Please wait while I choose that special medicine for me

 that soothes me and takes my panic away!”

I say…

“My doctor!  My dentist! Before you give me that needle

and start up the music of your electric drill

I must have the chance to make one or two choices of the medicine that will soothe my own ills

Who knows,

I might choose some jazz or some bongo flava or even some cool bluesy blues

Or I might choose some slammin’ beats, some hip hop rhymes

or wide varieties of traditional drumming tunes

Or maybe I might choose those sweet, sweet voices

that sound like the hum of fierce honeybees

Or maybe I’ll chose the sounds of my Ancestors voices

that come through the obokano strings that I play

Those ancient voices give me my strength and restore me

 as I listen to them each and every day

I get strength from those voices wrapped ‘round my shoulders

 like soothing blankets of love

The music of those voices serves me like medicine

strong medicine,

 strong medicine of love!

Written and Translated By: Mama Charlotte Hill O’Neal aka Mama C.


This poem was written in Swahili, a Language of Eastern Africa spoken by the people of Kenya and Tanzania.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s